Simba SC wana msongo wa mawazo kisa kichapo

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kwa sasa kikosi hicho kinakabiliwa na presha kubwa na msongo wa mawazo. Sababu kubwa inayofanya hayo yote ni kufuatia mzigo wa matokeo mabaya katika mechi 6 zilizopita za Kariakoo Dabi. Kwenye mechi hizo Simba SC ilipoteza na kipigo kikubwa Novemba 5,2023 baada ya…

Read More

Kariakoo Derby Kupigwa Amaan Complex Leo Usiku

Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Zanzibar usiku wa leo wakati watani wa jadi watakapokutana katika pambano la Kariakoo Derby. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Amaan Stadium (Amaan Complex) kuanzia saa 2:15 usiku, huku presha ikiwa kubwa kwa kila upande kusaka ushindi muhimu. Kariakoo Derby imekuwa moja ya mechi zenye…

Read More

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome imetolewa ambapo wababe hao wawili wanatarajia kukutana Uwanja wa New Amaan Complex. Pacome hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambapo Yanga SC ilipata ushindi wa magoli 5-0 anatajwa kuwa huenda leo Machi Mosi akawa sehemu ya kikosi mara baada yakufanya mazoezi na wachezaji wenzake….

Read More