TIMU sita kutoka Ligi Kuu ya Uingereza vimetinga hatua ya 16 bora msimu huu kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Hii si bahati ni uthibitisho wa nguvu ya Ligi ya hiyo na barani Ulaya!
🔴 Arsenal
🔵 Manchester City
🔴 Liverpool
🔵 Chelsea
⚪ Tottenham Hotspur
⚫ Newcastle United
Sasa macho yote yapo hatua ya 16 bora nani ataendelea? nani ataanguka? na je, kombe litarudi England?