PSG, Real Madrid, Juventus Kitawaka Leo play-off ya UEFA, Piga Pesa Hapa!

Mzigo mkubwa unakusubiri ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.

Mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid watakuwa dimbani kumenyana vikali dhidi ya Benfica kutoka kule Ureno. Mechi ya mkondo wa kwanza ilimalizika kwa vijana hao wa Arbeloa kupata ushindi wa bao 1-0, goli la Viniciuz JR ndio liliwafanya wabebe pointi 3. Je vijana wa Mourinho wanaweza kuwazuia leo hii kushinda pale Bernabeu?. Suka jamvi hapa.

Atalanta atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani ambapo mechi ya mkondo wa kwanza wlaipokutana, wenyeji walipoteza. Mechi hii ya leo ndio mechi ya maamuzi nani kwenda hatua ya 16 bora na nani kubaki. Meridianbet wanakwambia kuwa kwenye mechi hii unaweza ukapiga mkwanja mrefu. Ingia na ubeti sasa.

Pesa ni rahisi ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mechi nyingine ni ile inayowakutanisha kati ya Juventus vs Galatasaray kutoka kule Uturuki. Mechi ya Mkondo wa kwanza Bibi Kizee alipoteza kwa mabao 5-2 hivyo siku ya leo akiwa nyumbani pale Allianz anahitaji kupindua meza dhidi ya wababe hawa wa Instanbul. Je wenyeji wanaweza kushinda zaidi ya mabao 4 ili wasinge hatua inayofuata ya michuano hii?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Jisajili hapa.

Kwa upande wa bingwa mtetezi, PSG baada ya kushinda mechi yake ya mkondo wa kwanza dhidi ya AS Monaco leo hii atakuwa akitaka kushinda lakini pia ikiwezekana kulinda huu ushindi kwani tayari ameshatanguliza mguu mmoja hatua ya 16 bora. Vijana wa Enrique wanahitaji kutetea taji lao. Je watawazuia?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri hapa.