Tanzania Prisons 0-2 Simba SC, matokeo na kituo kinachofuata

 Tanzania Prisons 0-2 Simba SC ni matokeo yaliyopita kwa mnyama. Kwenye mechi 5 za hivi karibuni, Simba SC imepata ushindi mechi 3 na sare mechi 2. Tanzania Prisons haijawa kwenye ubora na katika mechi 5, ushindi moja, sare moja na kupoteza mechi 3.

Watupiaji ni Seleman Mwalimu dakika ya 19 na Rushine de Reuck dakika ya 45 kwa mkwaju wa penati. Kituo kinachofuata kwa Simba SC ni Februari 25 itakuwa Dodoma Jiji vs Simba SC, Uwanja wa Jamhuri.

Matokeo ya mechi za Tanzania Prisons NBC Premier

02/02/2026

Mtibwa Sugar

2

1

Tanzania Prisons

10/02/2026

Tanzania Prisons

1

4

Coastal Union

06/02/2026

Mashujaa FC

0

0

Tanzania Prisons

14/02/2026

Tanzania Prisons

3

2

Namungo FC

22/02/2026

Tanzania Prisons

0

2

Simba SC

Matokeo ya Simba SC NBC Premier League

07/12/2025

Simba SC

0

2

Azam FC

18/01/2026

Simba SC

1

1

Mtibwa Sugar

29/01/2026

Simba SC

2

0

Mashujaa FC

11/02/2026

KMC FC

0

2

Simba SC

22/02/2026

Tanzania Prisons

0

2

Simba SC

Vinara wa ligi ya NBC Premier League ni JKT Tanzania yenye pointi 28 baada yakucheza mechi 16, nafasi ya pili ni Yanga SC ambao ni mabingwa watetezi wana pointi 25 mechi 9.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.