Maandalizi ya Kumpokea Waziri Mkuu Arusha kwa Ukaguzi wa Uwanja wa AFCON 2027

Maandalizi ya kumpokea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 katika uwanja wa mpira wa miguu Arusha ambao ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya Soka Barani Afrika (AFCON) 2027