Dabi ya Kariakoo Kuhamia Zanzibar Rasmi – TPLB Yafafanua Sababu
Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda, ameeleza sababu za kuhamishwa kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliopangwa kupigwa Machi 01, 2026. Kwa mujibu wa Boimanda, dabi hiyo kati ya Yanga SC (wenyeji) dhidi ya Simba SC sasa itapigwa katika Uwanja wa New Amaan Complex badala ya Benjamin Mkapa Stadium kama…