Ukiwa na Meridianbet pesa inakuwa ipo nje nje muda wote kwnai kila siku timu za ushindi zipo kwaajili yako. Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
Lille kutoka Ufaransa watakuwa nyumbani kumenyana vikali dhidi ya FK Crvena Zvezda ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mtanange huu. Mwenyeji anahitaji kuanza vyema kwenye hatua hii ya mtoano. Pia nafasi ya wewe kuondoka na maokoto ni kubwa ndani ya Meridianbet. Suka jamvi hapa.
Pia Nottingham Forest watakuwa ugenini kukichapa dhidi ya Fenerbahce ya kule Uturuki, huku wenyeji wao wakiwa wana matokeo ambayo hayaridhishi kwenye ligi. Lkaini hii ni michuano tofauti kabisa ya Europa kwahiyo timu ambavyo itajipanga ndivyo ambavyo itashinda. Machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja Meridianbet. Suka jamvi lako.
Tengeneza pesa leo hii kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Celtic uso kwa uso dhidi ya VFB Stuttgart ya kule Ujerumani wakiwa na kiwango kizuri kabisa kwani mpaka sasa wanashika nafasi ya 6, huku kwa wenyeji wao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Scotland. Huu ni mchezo ambao mwenyeji anataka kupata ushindi ili aweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata. Jisajili hapa.
Brann atakuwa kibaruani kumenyana dhidi ya Bologna kutoka kule Italia huku mechi ya mwisho walipokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao kwani walitoa suluhu. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuvuka hatua inayofuata. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Bashiri sasa.
Kwa upande wa Dinamo Zagreb yeye atakuwa mwenyeji wa Genk huku ikiwa ni 2021 ndio mara ya mwisho kukutana kati ya hawa wawili lakini hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Hii ni michuano ya Europa na kila timu inahitaji kupata ushindi siku ya leo. Je kati ya mwenyeji na mgeni nani ataanza vyema siku ya leo?. Jisajili hapa.
Kutoka kule Ugiriki, PAOK watamkaribisha Celta Vigo kwenye kusaka ushindi kwenye mechi ya kwanza ya mtoano. Hii ni mechi ambayo itashuhudia ubabe wa kila timu kwani nafasi ya kushinda anayo kila mtu. Je nani kuondoka na pointi 3 za kwanza leo?. Meridianbet wanasema ushindi wako upo karibu sana leo. Beti hapa.