Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa.
Inter Milan watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Bodoe/Glimt ambao ni moja kati ya timu ambazo zimewashangaza wengi sana baada ya kuzifunga timu kubwa ikiwemo Atletico na City. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa Inter. Lakini hapa hii ni mechi ambayo kial timu inataka ushindi. Bashiri hapa.
Mechi ya kibabe nyingine ni hii ya Club Brugge vs Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wanahitaji angalua kuvuka hii hatua. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa ni 2022 ambapo mwenyeji aliweza kuondoka na pointi 4 baada ya mechi ya kwanza kushinda na ya pili kutoa suluhu. ODDS za kibabe zipo mechi hii sasa. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Bayer Leverkusen yeye ataanzia ugenini dhidi ya Olympiacos ya kule Ugiriki. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili mwenyeji aliondoka na ushindi mnono kabisa. Hii ni mechi ambayo mgeni anahitaji kulipa kisasi siku ya leo ili mechi ya marudiano asije akapata kibarua kziito. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kutoka kule Azerbaijan Qarabag FK watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Newcastle United kutoka Uingereza ambao kwenye mashindano haya ya Ligi ya Mabingwa wamekuwa na kiwango kizuri kabisa. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Ingia na ubashiri hapa.