Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
ITALIA SERIE A kitawaka vilivyo, mapema kabisa Udinese atamenyana dhidi ya Sassuolo ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na pointi 3. Leo hii mwenyeji anataka ushindi akiwa nyumbani. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ya kibabe ni hii ya Torino vs Bologna ambao tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee, huku mechi ya mwisho walipokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe. Nafasi ya kushinda Mamilioni ipo kwenye mechi hii leo. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri sasa.
Bingwa mtetezi wa ligi, Napoli atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya AS Roma huku mechi ya kwanza msimu huu kwenye ligi walipokutana, vijana wa Conte waliondoka na ushindi. Je wataendeleza ubabe wao mbele ya vijana wa Stadio Olympique?. Tengeneza jamvi hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuendelea siku ya leo Atletico Madrid atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya