KMC FC vs Simba SC leo Kibu kuagwa

KMC vs Simba SC ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex saa 1:00 usiku.

Katika mchezo wa leo kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis anatarajiwa kuangwa rasmi mara baada ya kuuzwa.

Kibu msimu wa 2025/26 atakuwa nchini Libya kwa changamoto mpya mara baada ya kufikia makubaliano na pande zote mbili.

Mchezo wa leo utakuwa ni wa mwisho kwa Kibu Dennis ambaye alikuwa katika kikosi cha Simba SC tangu 20s1 akitokea Mbeya City.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.