CAF yaipiga faini ya dola 200,000 Morocco kwa kutaka ‘kuiba’ taulo la Senegal

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeorodhesha adhabu walizotoa kwa Morocco na Senegal kufuatia vurugu iliyoshuhudiwa wakati wa fainali ya AFCON 2026. Mashabiki wengi wa mpira walikuwa na hamu ya kujua hatua zipi zitashukuliwa na shirikisho hilo huku kila upande ukiamini mwenzake alikosea na anafaa kupata adhabu kali zaidi. CAF limempiga marufuku kocha wa Senegal, Pape…

Read More

Uwanja wa KMC Wafungiwa na TFF kwa Kukosa Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC uliopo Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi, baada ya kubaini kuwa haukidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haijakidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa katika masharti ya Kanuni ya Leseni za…

Read More

Kwa Lucky Loser, Ukianguka Bado Unashinda Zaidi

Kuna wakati unapocheza Win&Go na namba zako zote 6 hazifanikiwi kukupa ushindi. Hapo unahisi bahati haipo upande wako. Meridianbet inakuambia sahau mawazo hayo. Kwa Lucky Loser, hata unaposhindwa, bado unashinda. Tiketi yako ikishindwa kabisa, inabadilika mara moja kuwa ushindi wa mara 30 ya dau lako, ikikuonyesha kwamba hata kupoteza kuna furaha ndani yake. Lucky Loser…

Read More