Azam FC warejea Bongo na ushindi

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wamerejea Tanzania wakiwa na zawadi ya ushindi wakiwa ugenini. Januari 25,2026 ubao ulisoma Nairobi United 1-2 Azam FC magoli yakifungwa na Jephte Kitambala dakika ya 17 na Ernest Mohamed alijifunga dakika ya 78. Goli pekee la Nairobi United lilifungwa dakika ya 14 na Dancan Oluoch…

Read More

Meridianbet Yaendeleza Burudani Na Trick or Treat Bonanza

Baada ya msimu wa Halloween kufunga pazia, Meridianbet inaendelea kuonyesha kuwa burudani za kidijitali hazifungwi na kalenda. Kupitia mchezo wa Trick or Treat Bonanza, jukwaa hili linageuza mandhari ya msimu uliopita kuwa uzoefu endelevu wa burudani, likisisitiza ubunifu, ubora wa picha na simulizi linalovutia bila kutegemea sherehe za muda mfupi. Mchezo huu unamchukua mchezaji hadi…

Read More