IBrahim Diaz ametwaa tuzo ya mfungaji bora wa AFCON 2025

Kiungo mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Morocco IBrahim Diaz ametwaa tuzo ya mfungaji bora wa mashindano ya AFCON 2025 yaliyofanyika pale nchini Morocco.

Diaz ametwaa Tuzo hiyo akiwa na jumla ya mabao 5 akifuatiwa na Victor Osimhen pamoja na Mohamed Sallah wenye magoli manne kila mmoja.