Golikipa wa Morocco Yassine Bounou Atwaa Tuzo ya golikipa bora AFCON

Golikipa wa timu ya Taifa ya Morocco Yassine Bounou ametwaa Tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya AFCON 2025 yaliyofanyika pale katika Ardhi ya Morocco.

Bono ametwa tuzo hiyo baada ya kuwa kiwango kizuri katika mashindano hayo ya AFCON 2025 ambapo amecheza jumla ya mechi 7 na kupata Clean sheets 5.