Simba SC yamtambulisha Kibabage

RASMI Januari 19, 2026 Simba SC imemtambulisha mchezaji mpya katika dirisha dogo ambaye ni beki Nickson Kibabage. Kibabage anatambulishwa na Simba SC akitokea Klabu ya Singida Black Stars alipokuwa mwanzo wa msimu wa 2025/26. Taarifa rasmi iliyotolewa mapema na Singida Black Stars ilibainisha kuwa wamefikia makubaliano na Simba SC ambapo wanamtoa mchezaji huyo bila malipo…

Read More

Yanga Yawasambaratisha Mashujaa 6–0 NBC Premier League

Mchezo wa NBC Premier League umekamilika katika dimba la KMC Complex, ambapo Yanga Sports Club wameonyesha ubabe mkubwa kwa kuibamiza Mashujaa FC kwa kipigo kikubwa cha mabao 6–0. Yanga walitawala mchezo kuanzia mwanzo hadi mwisho, wakionesha ufanisi mkubwa katika safu ya ushambuliaji pamoja na uimara wa ulinzi. Mabao ya Yanga yalifungwa na: ⚽ Damaro ⚽…

Read More

CAF Yamsimamisha Kocha wa Senegal Pape Thiaw Baada ya Tukio la Fainali ya AFCON 2025

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kocha wa timu ya taifa ya Senegal, Pape Thiaw, kufuatia tukio la kuwahimiza wachezaji wake kutoka nje ya uwanja wakati wa mechi ya fainali ya AFCON 2025. Tukio hilo lilitokea baada ya mwamuzi kuamua mkwaju wa penalti dakika za mwisho, ambayo ilionekana kuwa ya utata…

Read More

Slotopia Yafungua Milango Mpya Ya Burudani Ndani Ya Meridianbet

Meridianbet inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya kasino mtandaoni kwa kuleta uzoefu tofauti kabisa kupitia Slotopia. Huu si mchezo wa kawaida wa sloti, bali ni mageuzi yanayobadilisha namna wachezaji wanavyofurahia burudani ya kidijitali. Kupitia ujio wa Slotopia, Meridianbet inawapa wateja wake nafasi ya kuingia kwenye dunia mpya iliyojaa ubunifu na msisimko. Kila mchezo ndani…

Read More