Nai Azungumzia Tetesi Zake na Pacome Zouzoua Kupitia Global TV
Baada ya tetesi kusambaa kwa muda mrefu mitandaoni zikimhusisha mwanadada @officiall_nai na staa wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, hatimaye mwenyewe ameamua kuvunja ukimya. Kupitia mahojiano ya mubashara na Global TV, Nai amefunguka na kuweka wazi ukweli kuhusu madai yanayoendelea kuzunguka mitandaoni, akieleza msimamo wake juu ya tetesi hizo zinazomhusisha na kiungo huyo wa Yanga. Mahojiano…