Hiki hapa kikosi cha Simba SC vs Azam FC
SIMBA SC itakaribishwa na Azam FC kwenye mchezo wa NMB Mapinduzi Cup ikiwa ni hatua ya nusu fainali Januari 8,2026. Chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker ni Mzizima Dabi inakwenda kupigwa Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar kwa wababe wawili kusaka ushindi. Kikosi cha kwanza ni Hussen Abel, Duchu, Mligo, Chamou, De Reuck, Kante, Jean Ahoua,…