Ahmed Pipino (20) amejiunga na Singida,kwa mkataba wa miaka mitatu✅
Dirisha kubwa lililopita Pipino alikuwa karibu sana kujiunga na Simba,ila ikatoa mvutano na klabu yake ya KMC.
Awamu hii Pipino ameununu mkataba wake pale KMC kwa dau la Tsh 70m na viongozi wakabariki aondoke zake ili akatafute maisha sehemu nyingine.
Sasa Rasmi Pipino atavaa jezi ya Singida Black Stars✅