Chelsea yamtangaza Liam Rosenior kuwa kocha mkuu mpya
Klabu ya Chelsea imethibitisha kumteua mkufunzi Liam James Rosenior kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua mikoba ya Enzo Maresca aliyetupiwa virago wiki iliyopita. Rosenior (41) raia wa England ambaye alikuwa kocha wa klabu ya Strasbourg inayomilikiwa na Kampuni ya BlueCo, ambayo pia inaimiliki Chelsea amesaini mkataba wa miaka sita na nusu utakaombakisha klabuni hapo…