Dau La Buku Lamgeuza Milioni 5! Derick Ikula Aibuka Mshindi Mkubwa Meridianbet
Ndoto ya kuwa mshindi wa mamilioni mara nyingi huonekana kuwa mbali kwa wengi kwasababu mara nyingi timu moja huchana mikeka, lakini kwa mchezaji mmoja mwenye ujasiri na matumaini, ndoto hiyo imekuwa halisi. Kupitia Meridianbet Derick Ikula amekuwa mchezaji ambaye ameondoka na zaidi ya shilingi milioni 5, na yote haya yalianza kwa dau dogo la buku moja tu….