KENYA YAICHAPA MOROCCO, YATINGA ROBO FAINALI CHAN 2024
TIMU ya Taifa ya Kenya maarufu kwa jina la Harambee Stars imenadika rekodi yake kwa kutinga robo fainali CHAN 2024 kwa ushindi mbele ya wapinzani wao Morocco. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ilikuwa Kenya 1-0 Morocco. Ni Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Agosti 10 2025…