Kuwaona Yanga SC vs FAR Rabat CAF Champions League ni buku tano tu
Yanga SC va FAR Rabat ya Morocco CAF Champions League mchezo unatarajiwa kuchezwa Novemba 22,2025 Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Tayari Yanga SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika wapo visiwani Zanzibar kwa maandalizi ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Kwa 5,000 yaani buku…