Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Emmanuel Samuel Mwanengo kutoka TRA United.
-
Umri: 22
-
Utaifa: Tanzania
-
Mkataba: Miaka 2
Mwanengo amejiunga na Yanga huku kikosi hicho kikijiandaa kwa misimu ya ligi ya soka ya Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa.
