AFCON 2025: Nigeria 2-1 Tanzania

MCHEZO wa hatua ya makundi AFCON 2025 ikiwa ni kundi C umekamilika nchini Morocco na ubao unasoma Nigeria 2-1 Tanzania. Dakika 45 za mwanza Nigeria walipata goli la kuongoza na kipindi cha pili walipata goli la pili la ushindi lililowapa pointi tatu muhimu. Ni Semi Ajay alifungua ukurasa wa magoli dakika ya 36 na Ademoola…

Read More

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania vs Nigeria

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania kitakachoanza kwenye mchezo dhidi ya Nigeria, fainali Afcon 2025 hatua ya makundi:- Zuberi Foba, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Novatus Miroshi. Alphonce Mabula, Saimon Msuva, Charles M’Mombwa, Mbwana Samatta, Tarryn Allakarakhia. Wachezaji wa akiba Hussen Masalanga, Pascal Msindo, Dickson Job, Nickson Kibabage, Iddi Nado, Kibu…

Read More

Yakoub na Feisal hatihati kuikosa Nigeria

Nyota wawili wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Yakoub Suleman ambaye ni kipa na kiungo Feisal Salum kuna hatihati wakaukosa mchezo wa leo dhidi ya Nigeria. Tanzania inatarajiwa kutupa karata yake ya kwanza katika AFCON 2025 itakuwa dhidi ya Nigeria leo Desemba 23,2025. Sababu ya Yakoub kuukosa mchezo wa leo inatajwa kwamba alipata…

Read More

Safari ya Ubingwa Inaanza na Mechi za AFCON

Ubingwa unaanzia na mechi kali kabisa za Mataifa yaani AFCON kwani tayari wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wameshakuwekea machaguo yako uyapendayo hivyo bashiri sasa. Senegal watakuwa uso kwa uso dhidi ya Botswana ambapo kwenye mechi zake 6 za mwisho za Kimataifa alizocheza hakuna hata mechi moja ambayo amepata ushindi. Wakati mwenyeji yeye  kwenye mechi 6…

Read More

Meridianbet Missions Sio Kubahatisha, Ni Kucheza Kwa Malengo

Meridianbet imeandika historia mpya katika kasino mtandaoni kwa kuanzisha Meridianbet Missions, mfumo unaobadilisha kabisa dhana ya sloti. Hapa, kila mzunguko una kusudi, kila mchezo una lengo, na kila mchezaji ana nafasi ya kujenga ushindi wake hatua kwa hatua. Ni kasino inayokufanya ucheze kwa akili, si bahati pekee. Kupitia Meridianbet Missions, unachagua misheni zako ndani ya…

Read More

Nigeria vs Tanzania AFCON 2025

Nigeria vs Tanzania ni mchezo mkali unaosubiriwa kwa shauku kwenye mashindano ya AFCON 2025 ikiwa ni hatua ya makundi nchini Morocco. Tayari mchezo wa ufunguzi ulishachezwa rasmi Desemba 21 ya Jumapili na wenyeji Morocco wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Comoros. Leo ni kazi ya wawakilishi kutoka Tanzania, Taifa Stars wakiongozwa na nahodha…

Read More