Skip to content
Monday, February 16, 2026
  • Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF
  • Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu
  • Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga
  • Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni Yanadhaminiwa Na Ruby Play Meridianbet

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF
  • Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu
  • Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga
  • Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni Yanadhaminiwa Na Ruby Play Meridianbet

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • December
  • 18

December 18, 2025

  • International
  • Sports

FIFA Yatoa Bilioni 25 kwa Kila Timu Ili Kufidia Gharama za Maandalizi na Hatua ya Makundi

Saleh2 months ago2 months ago01 mins

Taarifa njema kwa timu zote 48 zilizofuzu kucheza Kombe la Dunia 2026: kila timu itapokea dola za Marekani milioni 1.5 (takriban Tsh bilioni 3) kufidia gharama za maandalizi yao kabla ya mashindano. Aidha, kila timu itapokea gawio la dola milioni 9 (takriban Tsh bilioni 22) ikiwa itashiriki hatua ya makundi. Hivyo, jumla ya fedha ambazo…

Read More
  • International
  • Sports

Bryan Mbeumo Akataa Unahodha wa Cameroon AFCON

Saleh2 months ago02 mins

Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Cameroon, Bryan Mbeumo, ameripotiwa kukataa kupewa jukumu la kuwa nahodha wa timu ya taifa kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kwa mujibu wa taarifa kutoka karibu na kikosi hicho, Mbeumo amesema uamuzi wake umetokana na nia ya kujikita zaidi katika kiwango…

Read More
  • Sports

Usiku wa Moto Barani Ulaya: Mechi Nzito Leo Kusaka Ushindi

Saleh2 months ago2 months ago03 mins

Je unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?.  Tandika jamvi lako sasa kwa dau lako dogo na uanze safari yako ya kufanikiwa kimaisha kwani kwa dau dogo tuu unaibuka Milionea. Tukianza na  Mainz 05 wao watakipiga dhidi ya Samsunspor ya kule Uturuki ambapo kwenye msimamo woa mpaka sasa wamekusanya pointi…

Read More
  • Sports

Waziri Kombo na Prof. Kabudi Wakabidhi Bendera ya Taifa kwa Taifa Stars Cairo

Saleh2 months ago02 mins

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kambini jijini Cairo nchini Misri. Waziri Kombo na Profesa Kabudi, wameitembelea kambi hiyo Desemba 17, 2025 na kuikabidhi bendera ya Taifa,…

Read More
  • Sports

Meridianbet Yaanzisha Safari ya Ushindi Na Sweet Holiday Chase

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Msimu wa sikukuu sasa una rangi mpya kabisa baada ya Meridianbet kuzindua Sweet Holiday Chase, promosheni inayokufanya ujihisi kuwa shujaa kwenye safari ya bahati. Hapa kila mzunguko ni hatua moja ya kusogea kwenye hifadhi yenye jumla ya TSh 14,500,000,000/-, hazina ambayo kila shabiki wa ushindani alikuwa akiisubiri kwa hamu. Kila wiki, zawadi 125,000 zinatoka bila…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.