Meridianbet Yarejesha Tabasamu kwa Jamii ya Kinondoni Kuelekea Krismasi

Wakati wengi wakijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, Meridianbet imeamua kuifanya sikukuu hiyo kuwa na maana zaidi kwa familia zinazopitia hali ngumu ya kiuchumi. Kampuni hiyo inayoongoza katika sekta ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania imefika katika kata mbalimbali za Manispaa ya Kinondoni, ikitoa msaada wa mahitaji ya msingi ya nyumbani kwa familia zenye kipato cha…

Read More