Nyumba Mpya ya Kisasa Inauzwa Mapinga – Hati Miliki, Bei Poa!

NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MAPINGA
📍 Eneo: Mapinga, kilomita 1 tu kutoka Bagamoyo Road
💰 Bei: Milioni 150 (maongezi yapo)
📏 Ukubwa wa kiwanja: 1,200 sqm
📄 Document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
MAELEZO YA NDANI
◇Vyumba 4 vya kulala (2 Master ◇Bedrooms – Self Contained)
◇Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha
◇Chumba cha kulia chakula (Dining Room)
◇Jiko lenye nafasi kubwa, lenye mpangilio wa kisasa
◇Choo cha wageni (Public Toilet)
◇Store
HUDUMA NA MAZINGIRA
◇Hifadhi ya bustani nzuri (Garden Area)
◇Parking ya magari
◇Maji safi (DAWASCO) na umeme tayari vimeunganishwa
◇Eneo tulivu, lenye majirani wazuri, salama na miundombinu imara.
📞 Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia:
Call / WhatsApp: +255 795 303 038