Yanga SC kwenye mapumziko, kurudi kambini Desemba 15

UONGOZI wa Yanga SC umebainisha kuwa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pedro Goncalves kwa sasa wapo mapumziko. Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amebainisha kuwa maamuzi hayo yametoka kwenye benchi la ufundi hivyo wachezaji watakuwa kwenye familia zao na wengine watakuwa kwenye majukumu ya timu za taifa….

Read More