Liverpool Yapanga Maisha Bila Salah, Antoine Semenyo Atajwa Kama Mrithi Mkuu

Klabu ya Liverpool inaonekana tayari kuanza kupanga maisha bila nyota wao Mohamed Salah, kufuatia taarifa zinazoenea kuhusu uwezekano wa mshambuliaji huyo kuondoka mwezi Januari. Kwa mujibu wa The Express, mabosi wa Liverpool wameweka jina la Antoine Semenyo, mshambuliaji wa Bournemouth mwenye umri wa miaka 25, kama chaguo lao kuu la kumrithi Salah endapo ataondoka. Semenyo,…

Read More