Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League
Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League ikiwa ni mchezo wa msimu wa 2025/26 uliokuwa na ushindani mkubwa uwanjani. Zilishuhudiwa dakika45 milango ikiwa ni migumu kwa timu zote mbili katika msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ni Prince Dube mshambuliaji namba moja wa Yanga SC alifunga bao la ushindi katika dakika za lala salama…