Skip to content
Saturday, March 7, 2026
  • Vanillah Apata Shavu Apple Music, Ajiunga na Mpango wa Wasanii wa Kimataifa
  • Waamuzi wasaidizi wawili Wafungiwa mechi ya Dabi ya Kariakoo ya Machi 1
  • Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Yazingatia Muda wa Mapumziko ya Saa 72
  • Bonasi Za Kibabe Zinamiminika Ukicheza Zombie Apocalypse

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Vanillah Apata Shavu Apple Music, Ajiunga na Mpango wa Wasanii wa Kimataifa
  • Waamuzi wasaidizi wawili Wafungiwa mechi ya Dabi ya Kariakoo ya Machi 1
  • Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Yazingatia Muda wa Mapumziko ya Saa 72
  • Bonasi Za Kibabe Zinamiminika Ukicheza Zombie Apocalypse

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • November
  • 30

November 30, 2025

  • International

Stade Malien 2-1 Simba SC CAF Champions League

Saleh3 months ago3 months ago02 mins

CAF Champions League matokeo ni Stade Malien 2-1 Simba SC ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi msimu wa 2025/26. Taddeo Nkeng alipachika bao ka kuongoza dakika ya 16 na kamba ya pili ilifungwa na Ismail Simpara dakika ya 23 yakitosha kubakisha pointi tatu mazima kwa wenyeji. Neo Maema alifunga bao pekee la Simba SC…

Read More
  • Sports

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza vs Stade Malien CAF Champions League

Saleh3 months ago3 months ago01 mins

Kikosi cha Simba SC dhidi ya Stade Malien mchezo wa pili CAF Champions League hatua ya makundi Novemba 30,2025 kipo namna hii:- Yakoub Suleiman, Anthony Mligo, Joshua Mutale, Jean Ahoua, Shomari Kapombe, De Reuck. Naby Camara, Wilson Nangu, Ellie Mpanzu, Neo Maema na Seleman Mwalimu. Akiba ni Hussen Abel, Duchu, Chamou, Yusuph Kagoma, Semfuko, Kante,…

Read More
  • Sports

Stade Malien vs Simba SC ni leo CAF Champions League

Saleh3 months ago02 mins

Stade Malien vs Simba SC ni leo CAF Champions League ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi kwa wababe hawa kuwa uwanjani. Simba SC imetoka kupoteza mchezo wake wa kwanza ikiwa nyumbani ambapo ilifungwa bao 1-0 dhidi ya Petro de Luanda ikiwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa leo unakuwa wa pili kwa timu hizi mbili…

Read More
  • Sports

Yanga SC: Warithi Wapya wa TP Mazembe Afrika Mashariki na Kati?

Saleh3 months ago02 mins

Kabla ya klabu za Tanzania kuingia kwenye ramani kuu za soka la Ushindani barani Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilikuwa timu ya mfano kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Mazembe walijulikana kwa kushinda timu yoyote barani Afrika, kufika hatua za juu za mashindano, na hata kutwaa taji la Klabu Bingwa…

Read More
  • Sports

Wikiendi ya Moto Meridianbet – Mechi Kila Kona, Fursa za Kushinda Zimewaka!

Saleh3 months ago3 months ago03 mins

Mechi mbalimbali kuendelea Duniani siku ya leo, timu kibao zitashuka dimbani kuchuana vikali kusaka ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja wewe pekee leo. Tukianza na LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea ambapo Real Sociedad vs Villarreal ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 13. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoshana nguvu,…

Read More
  • Featured
  • Sports

Petro Atletico Wazuiwa Sare Nyumbani, Simba SC Yaendelea Kubanwa Kundi D

Saleh3 months ago3 months ago01 mins

Wababe wa Angola, Petro Atletico, wamelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Esperance de Tunis ya Tunisia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola. Petro walikuwa wa kwanza kuona lango kupitia Tiago Reis dakika ya 49, lakini Esperance wakasawazisha dakika za lala salama kupitia Diakite dakika ya 89,…

Read More
  • International
  • Sports

Man City Yaichapa Leeds 3-2 na Kupaa Nafasi ya Pili EPL

Saleh3 months ago01 mins

Manchester City imeonyesha upinzani wake kwenye mbio za ubingwa baada ya kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Leeds United katika Uwanja wa Etihad, na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Kwa ushindi huo, City imefikisha pointi 25 baada ya mechi 12, ikiendeleza presha kwa vinara wa ligi. Mchezo ulianza…

Read More
  • International
  • Sports

Barcelona Yapaa Kileleni LaLiga Baada ya Kuichapa Alaves 3-1 Camp Nou

Saleh3 months ago01 mins

FC Barcelona imeendelea kung’ara kwenye LaLiga baada ya kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Deportivo Alaves katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa New Spotify Camp Nou. Kwa ushindi huo, Barca imefikisha alama 34 baada ya mechi 14, na kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa alama mbili mbele ya Real Madrid, ambao wana mchezo…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.