Uwanja wa Mkwakwani Tanga Wafungiwa na Bodi ya Ligi

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Mkwakwani, uliopo Tanga, kutokana na kutokidhi vigezo vya matumizi ya ligi kwa sasa. Uamuzi huo umefikiwa baada ya ukaguzi uliofanyika hivi karibuni kubainisha kasoro kadhaa zinazohitaji marekebisho kabla ya uwanja kuruhusiwa kutumika tena kwenye michezo ya Ligi Kuu na mashindano mengine yanayosimamiwa na Bodi. Kwa mujibu…

Read More

Chelsea wababe Stamford Bridge, City wapoteza nyumbani – Matokeo ya Ulaya Usiku wa Leo

Mabingwa wa Dunia, Chelsea, wameonyesha ubabe mkubwa baada ya kuicharaza Barcelona mabao 3-0 katika dimba la Stamford Bridge, kwenye mchezo uliotawaliwa na wenyeji kwa muda mrefu. Chelsea 3-0 Barcelona ⚽ 27’ Kounde (og) ⚽ 55’ Estêvão ⚽ 73’ Delap 🟥 44’ Araujo (Barcelona) Barcelona walijikuta wakiwa pungufu muda mfupi kabla ya mapumziko baada ya Araujo…

Read More

Ratiba ya NBC Premier League Novemba 26,2025

NBC Premier League 2025/26 bado moto unaendelea ikiwa ni raundi ya 8 kwa timu kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Mechi kali tatu zinatarajiwa kuchezwa leo ya kwanza itakuwa Coastal Union vs Mbeya City saa 8:00 mchana, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Fountan Gate vs Tanzania Prisons saa 10:15 jioni, Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Funga…

Read More