Ni siku nyingine ya wababe wa Ulaya kukutana katika viwanja mbalimbali na kusaka pointi 3 muhimu kabisa. Chelsea, Napoli, Juventus, Dortmund na wengine kibao wapo kuhakikisha hutokei patupu. Unangoja nini sasa?. Ingia na ubashiri na Meridianbet sasa.
Tukianza na Manchester City wao watakuwa Etihad kumenyana vikali dhidi ya Bayer Leverkusen ya kule Ujerumani. City ametoka kushinda mechi yake iliyopita huku mgeni yeye pia alipata ushindi mechi yake iliyopita. Tengeneza pesa sasa kwa kubashiri mechi hii na Meridianbet.
Borussia Dortmund baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Villarreal ambaye naye alipigika mechi yake iliyopita. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa mechi ya kirafiki ambapo wote walitoa sare. Je leo hii nani kupta ushindi mbele ya mwenzake?. Bashiri hapa.
Dunia itashuhudia pia mechi ya Chelsea vs FC Barcelona ambayo itapigwa kule Stamford Bridge ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa ni 2019 kwenye mechi ya kirafiki, lakini kwenye michuano ya UEFA ilikuwa ni 2018 ambapo The Blues walipoteza. Nani kushinda mechi hii ni Hans Flick au Enzo Maresca?. Suka jamvi hapa.
Pesa nyingi zipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia Ajax atakipiga dhidi ya Benfica ambapo tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni ni hakuna kwani mpaka sasa wote wamepoteza mechi zote 4 ambazo wamecheza. Mechi hii ni muhimu kwa kila mtu. Je nani kuondoka na ushindi kule Uholanzi ni mwenyeji au mgeni?. Tandika jamvi hapa.
Mtanange mwingine utakuwa ni huu wa Juventus ambaye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt ambao mpaka sasa wana pointi 2 huku Bibi Kizee yeye akiwa na pointi zake 3 pekee. Ushindi ni muhimu kwa wote hawa wawili huku Meridianbet wakii amechi hii machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa.
Kutoka kule Uingereza, Newcastle United chini ya Eddie Howe watakuwa ugenini kule Ufaransa kupepetana dhidi ya Marseille ambao mpaka sasa kwenye mechi 4 walizocheza wamepata pointi 3 pekee, huku wageni wao wakipata pointi 9. Kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Beti hapa.
Napoli wao watakuwa kibaruani dhidi ya Qarabag FC ambao hawapewi nafasi ya kuibuka washindi siku ya leo. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee ambapo mwenyeji ana pointi 3 na mgeni wake pointi 7. Je nani unamuwekea pesa yako leo akupe ushindi? Tandika jamvi hapa.