Meridianbet Yaendelea Kuthibitisha Uongozi Katika Kujenga Jamii Yenye Ustawi Zaidi

Kuonyesha dhamira yake isiyoyumba ya kuwa sehemu ya suluhisho katika changamoto za kijamii, kampuni ya Meridianbet imeendeleza msururu wa miradi yake ya kusaidia jamii kwa kugawa vyakula kwa familia zenye uhitaji katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam. Hatua hii inathibitisha kwamba kampuni hiyo haishughuliki tu na michezo ya kubahatisha, bali pia ni nguzo muhimu…

Read More

Simba SC yapiga hesabu kumalizana na Petro de Luanda

Simba SC vs Petro de Luanda Novemba 23,2025 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya makundi, uongozi wa wenyeji umepiga hesabu kuvuna pointi tatu. Kutoka kundi D mchezo wa kwanza Simba SC itakuwa nyumbani na tayari Novemba 20,2025 walizindua jezi mpya ambazo zitatumika kwenye mashindano hayo zikiwa na nembo ya CAF. Ahmed…

Read More