Aziz Andambwile kwenye maisha mapya Yanga SC
KIUNGO Aziz Andambwile kwa sasa yupo katika maisha mapya ndani ya kikosi cha Yanga SC baada ya kupoteza namba kikosi cha kwanza. Aziz zama za Romain Folz alikuwa akianza kikosi cha kwanza mara baada ya kocha huyo kufutwa kazi Oktoba 18,2025 nchini Malawi hajawa chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Pedro Goncalves ambaye yupo Jangwani…