Kendrick Lamar na Lady Gaga Wavunja Rekodi, Watawala Uteuzi wa Grammy 2026
Orodha ya uteuzi wa Tuzo za Grammy 2026 imetangazwa rasmi, na msanii maarufu Kendrick Lamar ameongoza kwa kupata uteuzi wa vipengele tisa, akiendelea kuthibitisha nafasi yake kama mmoja wa sauti zenye ushawishi mkubwa zaidi katika muziki wa kizazi hiki. Akimfuatia kwa karibu, Lady Gaga amerejea kwa kishindo akiwa na uteuzi wa vipengele saba, sawa na…