Clement Mzize kuikosa Yanga SC vs KMC FC

CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga SC ataukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya KMC FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Nyota huyo anatarajiwa kuwa nje kwa muda wa wiki kati ya 8 mpaka 10 baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti ambalo lilikuwa linamsumbua. Kutokana na hali ambayo anaendelea nayo kwa sasa ni wazi kwamba…

Read More