Matokeo Darasa la Saba 2025 Yatangazwa Yapo HAPA, Asilimia 81.8 ya Watahiniwa Wamefaulu
Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed, ametangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (MTEM) 2025 katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo inaonesha kuwa kati ya watahiniwa 1,146,164 waliojihusisha na mtihani huo, watahiniwa 937,581 sawa…