Simba SC vs Nsingizini Hotspurs matokeo yafutwa mazima

Simba SC vs Nsingizini Hotspurs uongozi wa timu hiyo umebainisha kwamba utaingia uwanjani kama tmu ambayo haijafunga hivyo ni sawa na kusema matokeo yafutwa mazima ili kuongeza ushindani kwenye mchezo huo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa…

Read More

Kila Dakika ni Fursa ya Ushindi – Cheza Win&Go na Rejeshewa 10% Ukianguka!

Huu ni mwezi wa kujikusanyia pesa tu. Ukiwa na Meridianbet, jua umechagua kushinda kila siku, kwani wanahakikisha kila mwanafamilia wake ananufaika. Na sasa, wamezindua Win&Go, mchezo unaokupa fursa ya kushinda kila baada ya dakika tano. Zaidi ya hapo, unacheza bila hofu ya kupoteza kwani ukikosa, unarejeshewa 10% ya dau lako siku inayofuata. Wachezaji wote wanaoshiriki…

Read More