Skip to content
Monday, August 10, 2026
  • Simba Na Yanga Kukipiga Ngao Ya Jamii, Watinga Zanzibar kwa Kishindo
  • Rashford Arejea Manchester United Apewa Jezi namba 14
  • Mourinho Afichua Alisaini Mkataba wa Kuchukua Manchester United Baada ya Sir Alex
  • Simba SC yawasili Zanzibar Agosti 10,2026

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Simba Na Yanga Kukipiga Ngao Ya Jamii, Watinga Zanzibar kwa Kishindo
  • Rashford Arejea Manchester United Apewa Jezi namba 14
  • Mourinho Afichua Alisaini Mkataba wa Kuchukua Manchester United Baada ya Sir Alex
  • Simba SC yawasili Zanzibar Agosti 10,2026

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • October
  • 18

October 18, 2025

  • Sports

Breaking: Romain Folz afukuzwa Yanga SC

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

Romain Folz aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC kwenye mechi saba rasmi amefukuzwa Oktoba 18,2025 kwenye nafasi hiyo. Mara baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers, Yanga SC wametoa taarifa kuhusu kuvunja mkataba na Folz. Mchezo wa leo akiwa benchi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Bingu-Malawi umesoma…

Read More
  • Sports

FT: Live: Silver Strikers 1-0 Yanga SC

Saleh10 months ago10 months ago01 mins

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC Zimeongezwa dakika 5 Dakika 90 Pacome anafanya jaribio halileti matunda Dakika ya 89 Maxi Nzengeli Dakika ya 88 Doumbia anakosa nafasi akiwa ndani ya 18 Dakika ya 80 Diarra anaokoa hatari Dakika ya 78 Duke anaingia anatoka Aziz Goooooal Dakika ya 76 Silver wnapata goli Mpira ulianza kwa mlinda…

Read More
  • Sports

Arsenal Kutaka Kileleni, Meridianbet Yaongeza Msisimko wa EPL Weekend

Saleh10 months ago02 mins

Meridianbet wanamwaga pesa haswa siku ya leo kwenye burudani kubwa ya EPL. Meridianbet inakuandalia odds za kipekee na fursa kubwa za kubashiri kila pambano, kuhakikisha kila bashiri anapata nafasi ya kushinda. Leo ni siku yako ya kuingia kwenye mchezo wenye uhakika wa pesa. Mchezo wa Nottingham Forest dhidi ya Chelsea unatufungulia ukurasa wa burudani ya…

Read More
  • Sports

Silver Strikers FC vs Yanga SC CAF Champions League, Andambwile afunguka

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

Silver Strikers FC vs Yanga SC CAF Champions League unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 18, 2025 Uwanja wa Bingu- Malawi kwa wababe wawili kusaka ushindi uwanjani. Baada ya kete ya leo kituo kinachofuata itakuwa ni Yanga SC vs Silver Strikers FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 25, 2025 huu ni mchezo ambao utaamua mshindi atakeyetinga hatua…

Read More
  • Sports

Nsingizini Hotspurs vs Simba SC, Maema, De Reuck wapewa angalizo

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

Nsingizini Hotspurs vs Simba SC, mchezo unaofuata kwa Simba SC katika anga la kimataifa ikiwa ni CAF Champions League unatarajiwa kuchezwa ugenini. Hii ni kete ya kwanza kimataifa kwa Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev huku wachezaji wapya wa timu hiyo ikiwa ni Neo Maema, De Reuck wakipewa angalizo kuhakikisha kwamba wanapambana kupata matokeo…

Read More
  • Sports

Wakati wa Ushindi wa Kutisha Umewadia Ni Trick or Treat Bonanza

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

Wakati ambao Halloween imewadia na hewa ya maajabu imeenea kila kona. Sasa Meridianbet inakukaribisha kwenye mchezo wake unaoshika kasi kwa hali ya juu, Trick or Treat Bonanza. Huu ni mchezo wa kasino wa kipekee unaochanganya msisimko, ubunifu, na ushindi wa kiwango cha juu. Huu si mchezo wa kawaida kabisa, ni safari ya kweli ya kuisaka…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.