La Liga, Bundesliga, Ligue 1 – Mechi Kubwa Zazidi Kuchemka leo!
Mashabiki wa soka na wabashiri, leo ni usiku wa kuzidiwa na burudani kutoka viwanja vya Ulaya. Meridianbet inakuletea odds kali na chaguo za kipekee kwa kila mechi, kuhakikisha haupiti nafasi ya kushinda. Paris Saint-Germain wanarudi nyumbani Parc des Princes wakiangalia pointi tatu muhimu dhidi ya Strasbourg. Baada ya sare dhidi ya Lille, PSG wanahitaji ushindi…