Meridianbet Yaendelea na Ubunifu – Lucky Loser Yaleta Furaha Mpya kwa Wabashiri

Meridianbet inaleta habari njema kwa wapenda kubashiri: hata unapokosa namba zote, unaweza kuibuka mshindi kupitia promosheni ya Lucky Loser kwenye mchezo wa Win&Go!

Ikiwa umeweka tiketi yenye namba 6 kwa pesa taslimu na bahati haijakaa upande wako, usiwe na wasiwasi, tiketi yako inakuwa mshindi mara moja kwa dau lako kuzidishwa x30.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Faida Kubwa kwa Washiriki

  • Hata unapopoteza, bado unashinda — hakuna tiketi inayopotea bure.
  • Unapata nafasi ya kufurahia mchezo bila presha kubwa ya kushindwa.
  • Promosheni hii ni maalum kwa wachezaji wa Win&Go na inaleta msisimko wa kipekee kwa kila tiketi unayoweka.
  • Ni njia bora ya kuongeza ushindi wako hata pale ambapo bahati haijakaa upande wako!

Vigezo na Masharti Muhimu

  • Promosheni inatumika kwa tiketi zenye namba 6 pekee.
  • Haitumiki kwa tiketi za mfumo wala tiketi zilizowekwa kwa bonasi.
  • Raundi ya Dhahabu haina athari kwenye hesabu ya ushindi.
  • Tiketi za Lucky Loser haziwezi kushiriki kwenye droo ya jackpot.
  • Katika mazingira ya udanganyifu, matatizo ya kiufundi, au uvunjaji wa sheria za promosheni, Meridianbet ina haki ya kusitisha bonasi au ushindi husika.

Hii ndiyo promosheni inayogeuza hasara kuwa fursa! Ukiiona alama ya jani la bahati (clover) kwenye tiketi yako, ujue bahati imekufuata kwa njia isiyotegemewa.

Meridianbet inaendelea kubadilisha namna ya kubashiri — na Lucky Loser ni uthibitisho kuwa hata unapopoteza, unashinda!

👉 Tembelea www.meridianbet.co.tz