Msafara wa Simba SC ndani ya Afrika Kusini

WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba SC chini ya Meneja Mkuu Dimitar Pantev wanakibarua kuelekea mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika na mapema Oktoba 16 2025 walianza safari kuelekea Eswatini. Tayari Msafara wa kikosi cha Simba SC wenye wachezaji 22 umewasili salama Afrika Kusini ikiwa ni njia kwa ajili ya kuelekea Eswatini. Safari ya Simba SC…

Read More

Simba SC yatambulisha kocha mpya kuwanoa Camara, Yakoub

 Simba SC imemtambulisha kocha mpya ambaye atakuwa anawanoa makipa watimu hiyo kwa msimu wa 2025/26 kwenye mechi za ushindani. Anaitwa Vitomir Vutov ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa timu hiyo yenye maskani yake Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Ni Hussen Abel, Moussa Camara na Yakoub Suleiman haw ani makipa wa Simba SC watanolewa na mwalimu huyu mpya…

Read More

Romain Folz: Tunazidi kuimarika hatua kwa hatua

ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa wanazidi kuimarika hatua kwa hatua kadri siku zinavyokwenda kutokana na maandalizi yanayofanyika. Kikosi cha Yanga SC kinatarajiwa kuondoka leo Oktoba 16 2025 kuelekea Malawi kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Striker unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 18 2025. Folz amebainisha…

Read More

Meridianbet Yaendelea na Ubunifu – Lucky Loser Yaleta Furaha Mpya kwa Wabashiri

Meridianbet inaleta habari njema kwa wapenda kubashiri: hata unapokosa namba zote, unaweza kuibuka mshindi kupitia promosheni ya Lucky Loser kwenye mchezo wa Win&Go! Ikiwa umeweka tiketi yenye namba 6 kwa pesa taslimu na bahati haijakaa upande wako, usiwe na wasiwasi, tiketi yako inakuwa mshindi mara moja kwa dau lako kuzidishwa x30. NB; Meridianbet haikuachi nyuma,…

Read More