
JKT Queens watwaa taji kwa kuifunga Simba Queens fainali
JKT Queens ni washindi wa Ngao ya Jamii Wanawake 2025 wakiitwaa mbele ya Simba Queens katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Oktoba 12 2025. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKT Queens 2-1 Simba Queens ambapo dakika 45 za mwanzo mapema JKT Queens walipata goli la kuongoza. Watupiaji ni Winfrida Gerald dakika…