Mchambuzi mkongwe nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa kwa takwimu zake ndani ya kikosi cha Yanga hazimfanyi kuwa Kocha wa kufukuzwa.
Saleh Jembe Afunguka -“Kocha Wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Ellie Mpanzu Anastahili Muda Zaidi Simba”