Saleh Jembe Afunguka -“Kocha Wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Ellie Mpanzu Anastahili Muda Zaidi Simba”
Mchambuzi mkongwe nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa kwa takwimu zake ndani ya kikosi cha Yanga hazimfanyi kuwa Kocha wa kufukuzwa.
Mchambuzi mkongwe nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa kwa takwimu zake ndani ya kikosi cha Yanga hazimfanyi kuwa Kocha wa kufukuzwa.
ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amekiongoza kikosi hicho kwenye mazoezi ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo ujao wa kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC imetoka kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Mbeya City uliochezwa Septemba 30 2025 wakatoshana nguvu kwa suluhu ya 0-0. Baada ya mchezo huo tetesi zilkuwa…
SIMBA SC huenda wakautumia Uwanja wa Meja General Isahmuyo kwa mechi za nyumbani katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Hii inatokana na Uwanja wa Mkapa ambao Simba SC ilikuwa inautumia kwa mechi za nyumbani kufungiwa kwa muda kutokana na maboresho ambayo yanaendelea. Kwa sasa Uwanja wa Mkapa…
Djigui Diarra kipa namba moja wa Yanga SC amekaa langoni katika mechi mbili ambazo ni dakika 180 amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya mwezi Septemba. Katika mechi mbili ambazo ni dakika 180 Diarra ameokoa hatari moja pekee ilikuwa katika mchezo dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine dakika ya 89 pigo la Vitalis Mayanga. Katika…
Meridianbet Missions ni mfumo wa kipekee wa uaminifu uliozinduliwa mahsusi kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri. Lengo lake ni moja tu, kubadilisha kila dau lako kuwa tukio la kusisimua na lenye zawadi kemkem. Kila spin, kila mchezo, na kila hatua unayopiga hukuletea pointi zitakazofungua mlango wa zawadi za kipekee kama vile bonasi, free spins, tiketi…