
Yanga SC vs Wiliete SC Septemba 27 2025 Uwanja wa Mkapa
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Wiliete leo Uwanja wa Mkapa kauli mbiu ni Mfumo Umekubali. Yanga SC Septemba 27 2025 ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mchezo wa marudio. Ipo wazi kwamba katika mchezo wa kwanza…