Yanga SC 3-0 Pamba Jiji FC, Ligi Kuu Tanzania Bara NBC
YANGA SC imefungua pazi la Ligi Kuu Bara ya NBC kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 24 2025. Yanga SC ilibidi wasubiri mpaka dakika ya 45 kufunga bao la uongozi kupitia kwa Kouma ambaye aliunganisha krosi iliyopigwa kwa pigo la kona. Kipindi cha pili Yanga…