Dar es Salaam Yasherehekea Ushindi wa Sajenti Simbu wa Marathon
Bingwa wa Dunia wa Marathon mbio za Kilometa 42, Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce Simbu amesema anajivunia kuiheshimisha nchi yake kwa kuibuka mshindi wa Medali ya Dhahabu Jijini Tokyo, Japan hivi karibuni. Simbu aliwasili leo saa tisa alfajiri na kupokelewa na msafara na mabasi matano huku Watumishi wenzake wa JWTZ…