
KOCHA FADLU DAVIDS KUSEPA SIMBA SC, KAZINI KIMATAIFA
KOCHA Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids anatajwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Fadlu yupo na kikosi nchini Botswana kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali dhidi ya Gaborone United unaotarajiwa kuchezwa Septemba 20. Simba SC imetoka kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC. Katika…